Ingia / Jisajili

Furahini Katika Bwana

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 713 | Umetazamwa mara 3,168

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

FURAHINI KATIKA BWANA

KIITIKIO

Furahini katika Bwana siku zote, furahini katika Bwana siku zote.x2

(Tena nasema furahini Bwana yu Karibu), tena nasema furahini Bwana yu Karibu.x2

MASHAIRI

 1. Furahini nyote furahini sana mfurahie kuja kwake Mwokozi wetu.
 2. Na upole wenu na ujulikane na upole ujulikane na watu wote.
 3. Msijisumbue kwa neno lolote ila katika kila neno Mungu ajua.

  FURAHINI KATIKA BWANA

  KIITIKIO

  Furahini katika Bwana siku zote, furahini katika Bwana siku zote.x2

  (Tena nasema furahini Bwana yu Karibu), tena nasema furahini Bwana yu Karibu.x2

  MASHAIRI

 4. Furahini nyote furahini sana mfurahie kuja kwake Mwokozi wetu.
 5. Na upole wenu na ujulikane na upole ujulikane na watu wote.
 6. Msijisumbue kwa neno lolote ila katika kila neno Mungu ajua.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa