Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 521 | Umetazamwa mara 2,694
Download Nota Download MidiNijaposema kwa lugha za wanadamu (na malaika) kama sina upendo si kitu mimi
Nijapokuwa na unabii – na imani (timilifu) kama sina upendo si kitu mimi
1.Upendo huvumilia hufadhili, hauhusudu hautakabari,
wala haujivuni una adabu, na hautafuti mambo yake
2.Upendo hauoni uchungu, upendo hauhesabu
mabaya, haufurahii udhalimu bali, hufurahi pamoja na kweli
3.Upendo huvumilia yote, huamini hutumaini yote,
hustahimili yote haupungui, neno wakati wowote