Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 716 | Umetazamwa mara 3,057
Download Nota Download MidiBwana atuita tusikie neno
Ni neno la uzima neno lake
1.Neno lake Bwana ni neno la uzima,
tulisikie tupate wokovu
2.Pamoja tupeleke neno la Bwana,
pembeni zote za ulimwengu
3.Neno lake Bwana latuhakikishia,
uzima ujao wa milele
4.Kweli mafundisho yake Bwana wetu,
kwa kweli yamejaa hekima nyingi
5.Tuwe tayari kulipokea neno,
nasi sote tuwe wana wa Mungu