Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,090 | Umetazamwa mara 6,776
Download Nota Download MidiSalamu Maria umejaa neema - Bwana yu nawe umebarikiwa (kuliko wanawake wote) x2
Na Yesu mzao – wa tumbo lako amebarikiwa
Maria Mtakatifu Mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu (amina) x4