Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 644 | Umetazamwa mara 2,541
Download Nota Download MidiDaima nitakusifu – Bwana Mungu wangu
Daima nitakuimbia – Bwana Mungu wangu
Wewe ni kinga ni ngome ya maisha, yangu mimi
Ndiwe msaada ndiwe wokovu wangu, Bwana Mungu
1.Kweli nakupenda – kweli nakupenda,
Hakuna cha kulinganishwa na – wema wako Bwana
2.Ndiwe kimbilio – langu Bwana wangu,
Ninakuomba usiniache – Bwana Mungu wangu
3.Mungu usifiwe – Mungu utukuzwe,
Daima Bwana uhimidiwe – Bwana Mtawala