Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 430 | Umetazamwa mara 2,360
Download Nota Download MidiHeri walio maskini wa roho maana ufalme wa mbinguni ni wao
Heri walio na huzuni maana watafarijika
Heri walio wapole maana watairithi nchi
Heri wenye njaa na kiu ya haki – maana hao watashibishwa
Heri wenye rehema maana watapata rehema
Heri wenye moyo safi maana watamwona Mungu
Heri wapatanishi maana – wataitwa watoto wa Mungu
Heri wanaoteswa kwasababu ya kufanya atakayo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Heri yenu ninyi watu – wakiwatukana na kuwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa’jili yangu
Furahini na kushangilia maana tuzo lenu ni kubwa mbinguni x2