Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 769 | Umetazamwa mara 3,327
Download Nota Download MidiKiitikio: Nitamhimidi Bwana kila wakati, sifa zake zi kinywani mwangu daima x 2.
Mashairi:
1. Nalimtafuta Bwana, akanijibu, akaniponya na hofu zangu zote.
2. Masikini aliita, akasikia, akamwokoa na tabu zake zote.
3. Njoni enyi wana wangu, mnisikilize, nami nitawafundisha kumcha Bwana.
4. Nafsi zetu zamngoja, zamngoja Bwana, yeye ni msaada na ngao yetu.
5. Huponya nafsi zao, na mauti, na huwahuisha wakati wa njaa.