Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 968 | Umetazamwa mara 4,252
Download Nota Download MidiKiitikio: Salamu Mama Maria, wanao twakusalimu, salamu twakukutolea x 2.
Mashairi:
1. Sis wanao twazileta sala za maombi yetu, mama mwema utusikilize.
2. Tusaidie kuyashinda majaribu ya dunia, utusimamie wana wako.
3. Mwovu shetani tumshinde sisi kwa maombi yetu, Mama wa mwokozi tusikie.