Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Miito | Pentekoste
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,014 | Umetazamwa mara 5,689
Download Nota Download MidiKiitikio: Enendeni duniani kote, Enendeni duniani kote mkaihubiri injili x 2. Mkiwafundisha yote niliyowaamuru ninyi, nanyi, mkiwafunidha yote niliyowaamuru ninyi x 2.
Mashairi:
1. Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani nami nawatuma ninyi kwa mataifa, kuhubiri watu wote habari njema.
2. Mkawafanye mataifa wanafunzi wangu mkiwabatiza wote, kwa jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu.
3.Tazama mimi nipo nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.