Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 752 | Umetazamwa mara 2,980
Download Nota Download MidiUtujie Masiya, utujie Masiya wetu,
Kwa hamu tunakungoja, utujie Masiya wetu
1.Ndiwe tumaini letu wa dhambi, tunakulilia tusikilize
2.Tumesongwa na dhambi ee Masiya, njoo hima Bwana utuokoe
3.’situache Bwana tuangamie, kamba za mauti tuondolee
4.Utujie utujie Masiya, kukulaki Bwana tuko tayari