Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 654 | Umetazamwa mara 3,422
Download Nota Download MidiSalamu ee Mama yetu Bikira Maria
Tunakusalimu ewe Mama wake Mungu
Uliyeumbwa pasipo dhambi, ya asili Mama yetu utuombee
Vizazi vyote vitakutaja, vitakuita mbarikiwa ee Mama yetu
1.Mungu naye akakuchagua, Mungu kweli akakuteua,
kuwa Mama wa Mkombozi ewe Maria
2.Mama yetu tunakusalimu, Mama yetu usiye na doa,
ndiwe fahari yetu ee Mama Maria
3.Sala zetu Mama zifikishe, kwa Mwanao mpenzi Yesu
Kristu, utuombee mlinzi wetu Maria