Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 3,744 | Umetazamwa mara 8,266
Download Nota Download MidiWewe Bwana umekuwa makao yetu vizazi baada ya kizazi x2
1.Humrudisha mtu mavumbini usemapo,
'Rudini enyi wanadamu' maana miaka elfu machoni pako,
ni kama siku ya jana ikiisha kupita ni kama kesha la usiku
2.Wawagharikisha huwa kama usingizi,
asubuhi huwa kama majani yameayo asubuhi,
yachipuka na kumea jioni yakatika na kukauka
3.Basi utujulishe kuzihesabu siku,
zetu tujipe moyo wa hekima ee Bwana urudi,
hata lini urudi uwa hurumie watumishi wako
4.'tushibishe asubuhi kwa fadhili zako,
tutashangilia na kufurahi siku zote uzuri wa,
Bwana Mungu uwe juu yetu na kazi ya mikono yake uithibitishe