Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 739 | Umetazamwa mara 2,401
Download Nota Download Midi1.Msalabani pale Yesu wanifia,
Mimi mwenye dhambi nipate wokovu
Unihurumie, unihurumie
2.Hakika mateso hayo ni makali,
Moyo wako wajaa wema na msamaha
3.Unahangaika juu ya msalaba,
Nchi yatetemeka kwa hofu kubwa mno
4.Umejitolea kufia dunia,
Heri ya milele daima tupate
5.Nimejawa hofu na amani sina,
Ila Wewe ndiwe tumaini langu
6.Nakukimbilia nisiaibike,
Na kwa haki yako niponye Mwokozi
7.Ninajitolea kuwa chombo chako,
Nitumie Bwana kwa mapenzi yako