Ingia / Jisajili

Yesu Ninakuabudu

Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alfred Ogombo

Umepakuliwa mara 913 | Umetazamwa mara 2,882

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Yesu ninakuabudu katika Hostya, U Mungu kweli na mwanadamu katika Sakramenti

1.Unayejificha altareni

2.Nakuabudu kifudifudi

3.Wewe ni funguo wa mbinguni

4.U mgeni wetu toka mbinguni

5.Utukuzwe pia uabudiwe

6.Kwa mapendo kwetu wakaa nasi

7.Tukinge na maovu ya leo

8.Baraka zako utujalie

9.Nishiriki nawe heri yako

10.Unatupa uzima milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa