Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 741 | Umetazamwa mara 2,774
Download Nota Download MidiOnjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema x4
1.Nitamhimidi Bwana kila wakati,
sifa zake zi kinywani mwangu daima
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
wanyenyekevu wasikie wakafurahi
2.Mtukuzeni Bwana pamoja nami,
tuliadhimishe jina lake pamoja
Nalimtafuta Bwana akanijibu,
akaniponya na hofu zangu zote
3.Wakamwelekea macho wakatiwa nuru,
wala nyuso zao hazitaona haya
Maskini huyu aliita Bwana ’kasikia,
akamwokoa na tabu zake zote