Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 4,346 | Umetazamwa mara 9,435
Download Nota Download MidiAULAYE MWILI WANGU
Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
Kiitikio: Aulaye Mwili Wangu na kuinywa Damu Yangu asema BWANA Huyo hukaa ndani Yangu nami ndani yake.
Viimbizi
1. Njoni enyi wenye njaa, njoni enyi wenye kiu, Bwana anatualika tushiriki kwenye karamu.
2. “Mwili wangu ni chakula, Damu yangu ni kinywaji, Aulaye Mwili Wangu anauzima wa milele”.
3. “Aulaye Mwili Wangu na kuinywa Damu Yangu, Huyo nitamfufua siku ile siku ya mwisho”.