Ingia / Jisajili

Kizazi Hiki/kizazi Cha Nyoka

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 278 | Umetazamwa mara 1,087

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nikifananishe kizazi hiki na kitu gani nashindwa kusema kwa lugha nzuri iliyofasaha x 2 Tazama nikizazi kisicho na upendo kizazi kisicho na huruma chenye moyo wa jiwe hakika hiki ni kizazi cha nyoka x 2.

Mashairi:

1. Kizazi kilicho jaa chuki na kisasi, ufisadi na moyo wa hila.

2. Kizazi kinacho tukuza ushirikina, tamaa na anasa za dunia.

3. Ndimi zao za nena upotovu na unafiki na kuliasi jina la Bwana.

4. Mzabibu uliopanda na kuunyeshea mvua, tazama umekuwa mzabibu mwitu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa