Ingia / Jisajili

Afufuka Bwana

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 698 | Umetazamwa mara 1,072

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Afufuka Bwana wetu Yesu kafufuka sasa tushangilie sote ushindi wake, ameshinda kifo Bwana Yesu ameshinda sote kwa Imani kweli katukomboa;(sote na tukaimbe iyelele Bwana kafufuka,tushangilie aleluya aleluya sote tushangilie ukombozi wa Bwana x2) 1.Kaburini Yesu hayupo tena Kristu amefufuka wa kwanza kweli akashinda mauti x2 2.Walidhani wale wayahudi kwamba walimueza lakini siku ya tatu kafufuka x2 3.Tufufuke naye mkombozi sote na tukatoke dhambini ili tupate kutakaswa x2 4.Bwana Yesu sasa atuokoa kweli tumepata ukombozi kwake pale msalabani x2 Kibwagizo: S: Yesu ni mshindi Mbinguni, ni furaha ameshinda mauti tena, katukomboa, utumwa wa shetani na tuimbe zaburi, tumsifu Mwokozi aleluya A: Yesu ni mshindi Mbinguni Ee, Ee, ameshinda tena Ee, katukomboa Ee utumwa wa shetani, na tuimbe zaburi Ee, Mwokozi aleluya T: Chereko, chereko, chereko Bwana ni mshindi x2; Chereko, chereko, chereko Bwana ni mshindi x2; tumsifu aleluya B: Chereko chereko chereko Bwana amefufuka x2; Chereko chereko chereko Bwana amefufuka x3; tumsifu aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa