Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino
Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya
Umepakiwa na: Felix Owino
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 6
Download Nota Download MidiMWAKA MPYA
Waumini wote njooni, tumshukuru Mungu, kwa heri ya mwaka
mpya, tuseme asante, kwa kutulinda vyema; (Karibu mwaka mpya, karibu mwaka
mpya, tuseme asante, kwa Mungu Baba Mwenyezi, kwa kumaliza mwaka, kwa mapenzi
yake x2)
1.Ametulinda vyema, kwa mapenzi yake, kwa nini tusimshukuru
Mungu wetu, kwa kutuvusha tukaona mwaka mpya.
2.Ametulinda vyema, dhidi ya majanga, kwa nini tusimshukuru
Mungu wetu, kwa kutuvusha tukaona mwaka mpya.
3.Ametuepusha, dhidi ya ajali, kwa nini tusimshukuru Mungu
wetu, kwa kutuvusha tukaona mwaka mpya.
4.Bila nguvu zake, nguvu zake Mungu, hatuwezi kitu kamwe
mbele yake, kweli upendo wake Mungu ni wa ajabu.