Ingia / Jisajili

ALELUYA

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 123 | Umetazamwa mara 482

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aleluya aleluya aleluya, aleluya, aleluya, aleluya x2 1.Mimi ndimi chakula chenye uzima, kitokacho Mbinguni nami uzima asema Bwana 2.Mtu akila chakula hiki cha uzima, ataishi milele, njooni muonje Bwana yu mwema 3.Tukuzeni Bwana Mungu na msujuduni, tuliadhimishe jina, lake Bwana aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa