Ingia / Jisajili

Jipeni Moyo

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 223 | Umetazamwa mara 454

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Waambieni watu walio na moyo wa hofu, jipeni moyo, msiogope x2; (ulimwenguni mtapata matatizo mengi lakini,tazama Mungu wenu anakuja kuwaokoa x2) 1.Itieni mikono iliyodhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea. 2.Ndipo macho ya vipofu yatafunguliwa, na masikio ya viziwi yatazibuliwa. 3.Ndipo na kilema atarukaruka shangwe, na ulimi wake bubu utakapoimba. 4.Na katika inchi zote zenye ukame, vitajitokeza vijito vibukavyo maji.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa