Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Felix Owino
Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 18
Download Nota Download MidiNikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, ninaleta matoleo
yangu uyapokee x2; Kwa huruma yako Bwana uyapokee, japo ni dhaifu Bwana nina
kuomba uyapokee x2
1.Mali yako yote, narudisha kwako, kama shukurani, yangu
kwako Bwana.
2.Nanyi ndugu zangu, ninawasihi, tupeleke kwake, alotujalia.
3.Hicho uloandaa, jiulize ndugu, je kinalingana, na wema wa
Mungu.
4.Tutafakarini, tusimuibie, maana vitu vyote, ni mali ya
Mungu.