Ingia / Jisajili

Kanisa Takatifu

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 150 | Umetazamwa mara 390

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kanisa takatifu,Katoliki la Mitume, aliyotuachia Bwana wetu Yesu Kristu,ni la msingi imara,lenye imani dhabiti, iliyowekwa na Bwana Yesu juu ya Mitume;(limejengwa,chini ya mwamba dhabiti, msingi wake juu ya mlima,halitikisiki na halitaanguka kamwe x2) 1.Bwana Yesu alisema,tushike imani yetu,tusiyumbeyumbishwe na manabii wa uongo. 2.Katoliki la Mitume,limejaa miujiza,ninaona fahari ya kuitwa Mkatoliki. 3.Lina litrujia ya upako,upako wa kitume,hivyo basi tuhepe maneno ya kutuyumbisha. 4.Japo madhehebu ni mengi,bado kanisa ni moja,ambalo ni kanisa Katoliki la Mitume. 5.Halitayumbishwa milele,kizazi hata kizazi,maana ni Kanisa aliyotuachia Kristu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa