Ingia / Jisajili

Hongera Padre Ngwatu

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Shukrani

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 72 | Umetazamwa mara 142

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni jubilei, leo, ni jubilei, leo, twasherekea leo, ya Padre Antonio Ngwatu x2; hongera Padre Ngwatu hongera katika utume (wako, heko), tunafurahia, sana, tukikupongeza; {kwa kuidhinisha, miaka arubaini katika (hongera sana katika utume, wako, heko) shamba lake Bwana Mungu, tangu upadrishwe,hongera hongera} x2 1. Nifuraha,duniani na Mbinguni, Malaika, pia nao waimba, na sisi Wa’Kilifi na Taita siku hii ya leo, kwa uinjilishaji bora 2. Umevipiga vita ahee vilivyo vizuri, wito umelinda, twamshukuru Mungu, aliyekuita bila ya mastahili 3. Jubilei yako ya leo, ni ya miaka arubaini, Jimbo kuu la Mombasa, kama mchungaji, tunakupongeza Mungu akulinde Kibwagizo (Hitimisho); Ndiwe kuhani, hata milele, hata milele x2; Kwa mfano wa Melkizedeki ndiwe kuhani hata milele Bwana ameapa wala hata ghairi (ndiwe kuhani hata milele, kwa mfano wa Melkizedeki x2)

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa