Ingia / Jisajili

Mtakatifu Bwana

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 287 | Umetazamwa mara 555

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mtakatifu Bwana Mtakatifu Bwana, Mtakatifu Mungu wa majeshi x2 1.Mbingu dunia (zimejaa), zimejaa (utukufu), zimejaa, utukufu wako x2 Hossana hossana juu, Hossana hossana juu, Hossana hossana juu, Hossana juu Mbinguni x2 2.Mbarikiwa (yule) anayekuja (kwa jina) kwa jina, jina lake Bwana x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa