Ingia / Jisajili

Neno La Mungu

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 631 | Umetazamwa mara 1,236

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Neno la Mungu (neno la Mungu) limekuja kwetu sisi, tulipokee sote (neno la Mungu) neno lake Bwana Mungu x2; tulipokee neno kwa furaha (kweli) ni taa ya mioyo yetu, na njia ya wokovu wetu (tena) sitara yetu x2 1.Neno la Bwana ni, la uzima, la rehema, na amani, sote tulisikilize 2.Neno la Bwana ni, la msamaha, la faraja, na wokovu, sote tulisikilize 3.Neno la Bwana ni, takatifu, ni taa la uzima, sote tulisikilize 4.Neno la Bwana, ya angazia, maisha yetu, siku zote kamwe halitasima

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa