Ingia / Jisajili

Ombeni Mtapewa

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 171 | Umetazamwa mara 361

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ombeni nanyi mtapewa,tafteni nanyi mtaona,bisheni mtafunguliwa Yesu alisema,ombeni nanyi mtapewa,tafteni nanyi mtaona,bisheni mtafunguliwa;(basi msisumbukie ya kesho bali kila neno,kwa sala na haja zenu zijulikane kwa Mungu x2) 1.Mkabidhi Bwana njia zako,na umtumaini yeye,naye atafanya yote mtumainiye. 2.Lolote lisiwasumbue,bali katika kila neno,salini pamoja na kumshukuru Mungu. 3.Mkisali na msipayuke,ajua mahitaji yenu,hata kabla hamjamuomba Mungu msaada. 4.Baba aliye juu Mbinguni,atawapa mema yote,ombeni mtapewa tafteni mtapata.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa