Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 3,294 | Umetazamwa mara 6,129
Download Nota Download MidiKiitikio: Ee Mungu, uturudishe, uangazishe uso wako nasi tutaokoka x 2.
Mashairi:
1. Wewe uchungaye Israeli usikie, wewe uketiye juu ya makerubi utoe nuru, uziamshe nguvu zako uje kutuokoa.
2. Ee Mungu wa majeshi twakusihi urudi, utazame toka juu uone uujilie mzabibu huu, na mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, na tawi lile ulilolifanya kuwa imana kwa nafsi yake.