Ingia / Jisajili

Mfalme Ndiye Kristu

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 665 | Umetazamwa mara 1,407

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MFALME NDIYE KRISTU Mfalme ndiye Kristu na mwokozi wetu tumwimbie leo na tumshangilie x2 (Astahili sifa na enzi na ukuu nguvu utukufu vyote ni vyake yeye ) x2 1. Aliadhimishwa naye Mungu Mwenyezi, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu, Baada ya kushinda vita duniani, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu. 2. Kila goti litapigwa kwa ajili yake, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu, Wote waimbe nyimbo za kumsifu Yeye huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu. 3. Sisi twajivunia kuwa na mfalme huyo, kwani yeye anatambulika uwinguni, Yeye atakuelekeza kwa Mungu Baba, kwani yeye anatambulika uwinguni. 4. Yeye ndiye mwanzo tena pia ndiye mwisho, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu, Hakuna mwingine atakuja kumrithi, huyo mfalme wa mbinguni Yesu Kristu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa