Ingia / Jisajili

Amani Ya Bwana

Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: James Vavu

Umepakuliwa mara 349 | Umetazamwa mara 1,215

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Amani ya Bwana, Ndiyo Amani ya kweli, Itokayo moyoni Amani! Amani! Amani! Tutakiane hiyo Amani; Oh! Amani hiyo ya kweli Tupeane hiyo Amani; Oh! Amani yake Bwana, pokea. 2. Upendo wa Bwana, 3. Furaha ya Bwana, 4. Neema ya Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa