Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma
Umepakiwa na: James Vavu
Umepakuliwa mara 368 | Umetazamwa mara 1,321
Download Nota Download MidiHAKUNA ALIYEKUHUKUMU
Yohane 8: 10 – 11, Zaburi 32: 2, 3 & 5
Mwanamke, hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?
Hakuna Bwana.
Wala mimi
sikuhukumu.
Enenda zako,
Wala usitende dhambi
tena.
1.
Heri
Bwana asiyemhesabia,
Upotovu ambaye
rohoni mwake,
Hamna, hamna hila.
2.
Niliponyamaza
mifupa yangu
Ilichakaa kwa kuugua
kwangu
Mchana, mchana
kutwa.
3.
Nilikujulisha
dhambi, dhambi yangu
Wala sikuficha
upotovu wangu,
Upotovu, upotovu
wangu.
4.
Nalisema
nitayakiri makosa
Yangu kwa Bwana nawe
ukanisamehe,
Upotovu wa dhambi
yangu.