Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: James Vavu
Umepakuliwa mara 727 | Umetazamwa mara 3,182
Download Nota Download MidiTWAKUOMBA UPOKEE VIPAJI VYETU
Twakuomba ewe Baba pokea vipaji vyetu,
Ingawa ni kidogo ee baba usikatae,
Twaleta kwako ee baba twaomba upokee. X 2
1. Mkate na divai, twakutolea Baba, twaomba vikupendeze, vipaji vya wanao.
Fedha za mifukoni, twakutolea Baba, twaomba vikupendeze, vipaji vya wanao.
2. Mazao ya mashamba,
Nafaka upokee,
3. Vyote tulivyo navyo,
Furaha na uchungu,
4. Pokea nazo nia,
Na pia nafsi zetu,