Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma
Umepakiwa na: James Vavu
Umepakuliwa mara 283 | Umetazamwa mara 1,194
Download Nota Download MidiIMEKUPASA MTOTO KUFURAHI
Luka 15: 32; Zaburi 32: 1, 2
& 3
Imekupasa mtoto kufurahi,
Imekupasa mtoto kufurahi,
Kwa kuwa huyu ndugu yako,
Kwa kuwa huyu ndugu yako,
Alikuwa amekufa, naye
amefufuka,
Alikuwa amepotea, naye
ameonekana. x 2
1. Heri aliyesamehewa dhambi,
Dhambi na kusitiriwa makosa,
Makosa yake.
2. Heri Bwana asiyemhesabia,
Upotovu
ambaye rohoni mwake,
Hamna hila.
3. Niliponyamaza mifupa yangu,
Ilichakaa kwa kuugua kwangu,
Mchana kutwa.