Ingia / Jisajili

Nena Bwana

Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: James Vavu

Umepakuliwa mara 306 | Umetazamwa mara 1,222

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Neno lako ni taa, ya miguu yangu Na mwanga wa njia, mwanga wa njia yangu mimi. Neno lako ee Bwana, liwe kwangu mwanga, Wa kuniongoza, mimi popote niendapo. Nena Bwana, nena Bwana, nena Bwana kwa kuwa mtumishi wako anasikia. 2. Nena na mimi mama, ninakusikia, Unifanye mwanga, wako popote niendapo. Nena na mimi baba, mimi hapa Bwana, Unifanye mwanga, wako popote niendapo. 3. Nena nami kijana, ninakusikia, Nena nami mzee, mimi hapa Bwana, 4. Nena nami mtawa, ninakusikia, Nena na mimi padre, mimi hapa Bwana 5. Nena nami mjane, ninakusikia, Nena nami yatima, mimi hapa Bwana, 6. Nena nami mgeni, ninakusikia, Nena nami mwenyeji, mimi hapa Bwana, 7. Nena nami fukara, ninakusikia, Nena nami tajiri, mimi hapa Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa