Ingia / Jisajili

Malaika Mtakatifu

Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu

Makundi Nyimbo: Misa | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: James Vavu

Umepakuliwa mara 242 | Umetazamwa mara 1,037

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Malaika mtakatifu wa Mungu Amesimama kando ya Altare, Ameshika mkononi mwake Chetezo cha dhahabu. Nakuomba ewe Baba Sala yangu na ipae Kama moshi wa ubani (moshi wa ubani) 1. Nakuomba uichukue Sadaka yangu ya leo, Uipeleke mbele ya uso wa Mungu. 2. Nakuomba na iwe safi Sadaka yangu ya leo, Kama yake Abeli Mtumishi wako. 3. Nakuomba ikupendeze Sadaka yangu ya leo, Kama yake Kuhani Mkuu Melkizedeki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa