Ingia / Jisajili

Njoni Tumshangilie Bwana

Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: James Vavu

Umepakuliwa mara 1,024 | Umetazamwa mara 4,037

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NJONI TUMSHANGILIE BWANA

Wakristu wote njoni tumshangilie na tumwimbie Mungu kwa nyimbo nzuri.

Na tuingie kwa nyumba yake Baba tukamwabudu Mungu muumba wetu.

Shangwe tumpigie (tupige) nazo nyimbo tumwimbie nzuri za shangwe.

Sala tumtolee (tutoe) na magoti tumpigie Bwana tumwabudu.

  1. Njoni tumjongee, njoni kwa masifu, njoni, njoni tumshangilie Bwana.

           Tumfanyie shangwe, mwamba wa wokovu, njoni, njoni tumshangilie Bwana.

  1. Yeye ndiye Bwana, yeye Mungu mkuu,  

            Yeye ndiye Mfalme, wa wafalme wote,

  1. Yeye Mungu wetu, aliyetuumba,

            Sisi ndio watu, wa malisho yake,

 

  1. Bahari ni yake, pia nchi kavu,     

            Milima ni yake, pia makorongo,


Maoni - Toa Maoni

Amos ngakayu Augustine Dec 16, 2023
Napenda kujifunza zaidi kuhusu dini yangu

Toa Maoni yako hapa