Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,300 | Umetazamwa mara 7,029
Download Nota Download MidiKiitikio: Hosana mwana wa Daudi, (hosana), hosana mwana wa Daudi hosana juu mbinguni x 2.
Mashairi:
1. Ndiwe mbarikiwa, yeye ajaye, kwa jina ya Bwana, mfalme mfalme wa israeli.
2. Tazama huyu mfalme, anayekuja, mpole amepanda, punda punda na mtoto wake.
3. Na watu wengi sana, wakatandaza njiani nguo, na matawi matawi ya miti.