Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 3,018 | Umetazamwa mara 7,252
Download Nota Download MidiKiitikio: Enyi watu wote pigeni makofi, pigeni makofi x 2. Mpigieni Mungu kelele za shangwe, mpigieni Mungu kelele za shangwe, enyi watu wote pigeni makofi x 2.
1. Kwakuwa Bwna aliyejuu mwenye kuogofya, ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
2. atawatiisha watu wa nchi chini yetu, na mataifa chini chini ya miguu yetu.
3. atatuchagulia urithi wetu, fahari ya Yakobo ambaye alimpenda.