Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,213 | Umetazamwa mara 6,386
Download Nota Download MidiKiitikio:
Heri taifa, ambalo Bwana ni Mungu wao, heri taifa, ambalo Bwana ni Mungu wao x 2.
Mashairi:
1. Mpigieni Bwana vigelegele enyi wenye haki, kusifu kwawapasa wanyofu wa moyo.
2. Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu aliowachagua kuwa urithi wake.
3. Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao, wazingojea fadhili zake, fadhili zake.