Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 490 | Umetazamwa mara 2,200
Download Nota Download MidiKiitikio: Baba yangu na Mama yangu wameniacha, mimi, bali Bwana atanikaribisha kwake, bali Bwana atanikaribisha kwake x2.
Mashairi:
1. Ee Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia, unifadhili unijibu.
2. Ee Bwana unifundishe unifundishe njia yako, na kuniongoza katika njia iliyonyooka.
3. Usinitie katika nia ya watesi wangu, maana mashaidi wa uongo wameniondokea.
4. Naamini yakuwa nitauona wema wako, katika nchi ya walio hai.