Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,977 | Umetazamwa mara 5,210
Download Nota Download MidiKiitikio: Bwana atawabariki watu wake kwa amani, Bwan atawabariki watu wake kwa amani x 2.
Mashairi:
1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, mpeni Bwana utukufu na nguvu.
2.Mpeni Bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni Bwan kwa uzuri wa utakatifu.