Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 525 | Umetazamwa mara 2,281
Download Nota Download MidiKiitikio: Siri ya Bwana, iko kwao wamchao, naye Bwana atawajulisha agano lake x 2.
Mashairi:
1. Macho macho yangu umwelekea Bwana daima, naye atanitoa miguu yangu katika wavu.
2. Uniangalie Bwana na kunifadhili, maana mimi ni mkiwa na mteswa.
3. Katika shida za moyo wangu unifanyie nafasi, nakunitoa katika dhiki yangu.
4. Utazame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhami zangu dhambi zangu.