Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,234 | Umetazamwa mara 3,698
Download Nota Download MidiYesu Mwokozi amefufuka utukufu na ukuu (una yeye) x4 hata milele hata milele
1.Alivyosema atafufuka kaburini hayumo tena Bwana yu hai aleluya aleluya
2.Hii ndiyo siku ’liyoifanya aliyoifanya Bwana na tufurahi aleluya aleluya
3.Yesu ameshinda mauti ameleta tena uzima wa milele aleluya aleluya
4.Ufalme uko pamoja naye utukufu nao ukuu ni vyake vyote aleluya aleluya
5.Tuimbe sote aleluya waumini tumshangilie aleluya aleluya aleluya