Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download Midi1. Twende ndugu twende mbele za Bwana; tupeleke kwake sadaka yetu
Japo ni kidogo Baba twaomba; ipokee Baba uibariki
Sadaka yetu (sadaka) kwako ee Baba,
japo kidogo (ee Baba) uipokee; ikupendeze kama ile ya Abeli X2
2. Mkate kutoka mti wa ngano; ungeuze huwe
mwili wa Yesu
Na divai toka kwa mzabibu; ingeuze iwe damu
ya Yesu
3. Fedha tupatazo kwa kazi zetu; twazileta
kwako Baba pokea
Mavuno, mifugo pia twaleta; ni sadaka yetu
Baba pokea
4. Nyoyo zetu Baba twakutolea; pia nia zetu Baba
pokea
Shukurani zetu twakutolea; ni sadaka yetu
Baba pokea.