Ingia / Jisajili

Kwa Imani Tukampokee

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 42

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kwa Imani tukampokee Bwana Yesu yu mzima, tukale mkate na divai; fumbo la mwili na damu yake. 1. Jioni Alhamisi Yesu kachukua mkate, kaugeuza mwili wake, kawapa wafuasi wake akisema “kuleni huu ndio mwili wangu” 2. Walipokwisha kula Yesu kachukua divai, kaigeuza damu yake, kawapa wafuasi wake akisema “kunyweni hii ndiyo damu yangu” 3. Kwa mwili na damuyo Bwana wangu nakuomba, nijalie neema Bwana, ukae ndani yangu siku zote nami nikae ndani yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa