Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 358 | Umetazamwa mara 2,165
Download Nota Download MidiKiitikio: Hungera hongera Kadinali Pengo, Kwa kuliongoza taifa lake Mungu kwa miaka thelathini: Twakuombea karaka tele na pia afya njema, ili, uendelee kutushibisha ka neno lake Mungu x 2.
Mashairi:
1. Jimbo Nachingwea ulianzia,uaskofu wako, changamoto ulizikabili, kulieneza neno lake Mungu.
2. Tunduru Masasi ukasimikwa, kuwa askofu wa kwanza, changamoto ulizikabili, kanisa la Bwana likasonga mbele.
3. Ukateuliwa Dar es Salama askofu mwandamizi, changamoto ulizikabili, imani ya kanisa ukaieneza.
4. Waamini wote twakupongeza, miaka thalathini, ya uaskofu wako Baba, twakuombea pia baraka tele.