Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Zaburi | Juma Kuu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,143 | Umetazamwa mara 4,745
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C
Ee Bwana uwe pamoja nami katika taabu zangu x 2:
Mashairi:
1. Aketiye mahali pa siri pake aliye juu, Atakaa katika uvuli wake mwenyezi.
2. Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangunitakaye mtumaini.
3. Mabaya hayata kupata wewe, Wala tauni haita ikaribia hema yako.
4. Kwa kuwa atakuagizia malaika zake, Wakulinde katika njia zako zote.
5. Mikononi mwao watakuchukua, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.