Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 901 | Umetazamwa mara 4,318
Download Nota Download MidiKiitikio: Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele x 2. Kwa haki yako uniponye uniopoe, unitegee sikio lako uniokoe x 2.
Mashairi:
1. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, nitakakokwanda, sikuzote.
2. Umeamuru niokolewe, ndiwe genge langu na ngome yangu.
3. Ee Mungu wangu uniopoe, mkononi mkorofi.
4. Maana ndiwe tumaini langu, tokea ujana, ujana wangu.