Ingia / Jisajili

Hubirini Kati Ya Watu Wote

Mtunzi: James Muola Vavu
> Mfahamu Zaidi James Muola Vavu
> Tazama Nyimbo nyingine za James Muola Vavu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: James Vavu

Umepakuliwa mara 152 | Umetazamwa mara 727

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hubirini kati ya watu wote Watu wote Maajabu ya Bwana, ya Bwana. 1. Mwimbieni Bwana, wimbo mpya; Mwimbieni Bwana, nchi yote. Mwimbieni Bwana, lisifuni jina lake. 2. Siku kwa siku tangazeni, wokovu wake. Uhubirini utukufu wake, kati ya mataifa; Maajabu yake, kati ya watu wote. 3. Mpeni Bwana, enyi jamaa, za mataifa, Mpeni Bwana sifa, sifa na enzi; Mpeni Bwana utukufu wa jina lake! 4. Mwabuduni Bwana, kwa fahari, Ya utakatifu, utakatifu; Tetemeka mbele zake, ee nchi yote; Waambieni mataifa: Bwana ni mfalme. Atawahukumu, atawahukumu watu kwa haki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa