Ingia / Jisajili

Tuombee Kwa Mwanao Yesu

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 66 | Umetazamwa mara 175

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUOMBEE KWA MWANAO YESU Mama Maria mama wake Mungu mama; (tuombee kwa mwanao Yesu, sala zetu Mama zifikishe)X2 1. Mama Maria msaada wa wakristu, ee bikira mama mwingi wa huruma tuombee kwa mwanao Yesu 2. Mwovu shetani kweli ametuandama, majaribu yake mengi kila siku, tuombee tuyashinde yote 3. Shida na dhiki wanao twahangaika, umsihi mwanao atuongoze kwani ndiye tumaini letu 4.Utuombee ndipo siku ya mwisho tuuone ufalme wa Mungu Baba tufurahi nao malaika.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa